![]() |
||
![]() Tanzania ina aina tofauti za milima. Kuna milima kama Kilimanjaro inayotokana na volkano; mingine, kwa mfano Safu za Milima ya Mashariki, ni ya zamani sana na ilitokana na kuinuka na kuteremka (uplifting and lowering) kwa miamba kutokana na mabadiliko ya kijiolojia. Katika picha inayoambatana na maelezo haya, safu kadhaa za Milima ya Mashariki zimepakwa rangi nyeupe na baadhi ya milima ya volkano imepakwa rangi ya kijani. |
||
Kiswahili Home | Maelekezo | Fuu | Ngozi | Safu Za Milima Ya Mashariki | Zoology | Field Museum Home | Shukrani Na Marejo | Tanzanian Mammal Key (English Version) © 2001 The Field Museum, All Rights Reserved 1400 S. Lake Shore Dr., Chicago, IL 60605-2496 312.922.9410 |
||